Friday, November 27, 2009

WADAU WOOTE................!!!!!!!!!!!!!!!


DA! TUPO PAMOJA WADAU KATIKA IDD ALL- KHAJI

NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA WEEKEND NJEMA MDAU

PANAPO MAJALIWA YA MWENYEZI MUNGU KESHO SIKUKU NDUGU ZANGU WOTE WAISLAM SALUYA44 INAKUTAKIA IDD ALL-KHAJI NZURI KABISA NA WEEK END NJEMA.. SINA MENGI KWA WADAU WANGU.

Saturday, November 14, 2009

TARIFA ILIYOTUFIA KATIKA BLOG YETU YA MICHEZO MCHAKAMCHAKA WA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2010 IYOOO!!! Afrika kujua leo Nchi 3 zitakazoungana na Wenyeji Afrika Kusini, Ghana na Ivory Coast Fainali!!!
Wakati Bara la Afrika leo linategemewa kuzipata Nchi 3 zitazojumuika na Afrika Kusini, Ghana na Ivory Coast Fainali Kombe la Dunia huko Afrika Kusini kuanzia Juni 11 mwakani, Mabara ya Ulaya na Marekani leo wanacheza mechi zao za kwanza na kurudiana Jumatano Novemba 18 ili kupata washindi wakatakaoenda Fainali.Kwa Afrika, Timu zinazogombea Nafasi hizo 3 ni ama Cameroun au Gabon toka KUNDI A, Tunisia au Nigeria toka KUNDI B, Misri au Algeria toka KUNDI C.
RATIBA:
Afrika
Novemba 14
Mozambique v Tunisia
Togo v Gabon
Morocco v Cameroun
Rwanda v Zambia
Kenya v Nigeria
Burkina Faso v Malawi
Ivory Coast v Guinea
Egypt v Algeria
Sudan v Benin
Novemba 15
Ghana v Mali
Marekani
Novemba 14
Costa Rica v Uruguay
Ulaya
Novemba 14
Urusi v Slovenia
Republic of Ireland v Ufaransa
Greece v Ukraine
Ureno v Bosnia-Herzegovina.


Tuesday, November 10, 2009

Da.!!FA yajaribu kumpa onyo Rooney kwa kauli: "MTU 12 MTU 12' aliyoitoa baada ya mechi ya Chelsea juzi!!!
wayne rooney
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney amepewa onyo na FA, Chama cha Soka England, na ametakiwa achunge mwenendo wake wa baadae baada ya kunaswa akipiga kelele kwenye Kamera ya TV 'MTU 12!! MTU 12!!', akimaanisha Refa kawabeba Chelsea, mara tu baada ya mechi ya Ligi Kuu jana kumalizika huko Stamford Bridge kwa Chelsea kuifunga Man U 1-0 kwa goli la utata.Pia FA imesema Meneja wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, hana hatia baada ya kutamka maamuzi ya Refa Martin Atkinson yalikuwa ni upuuzi wa hali ya juu na pia kusema maamuzi kama hayo yanawafanya watu wakose imani kwa Marefa. Kwa sasa Ferguson yupo matatani na FA akikabiliwa na kesi inayosubiri uamuzi baada ya kushitakiwa mwezi Oktoba pale alipodai Refa Alan Wiley hayuko fiti kuchezesha mara tu baada ya mechi kati ya Man U na Sunderland kwisha dro 2-2.

Sunday, November 8, 2009

Boss Wa England Fabio Capello Ajalibu Kuwaonya Majeruhi!!!

Yule Boss wa England, Fabio Capello, amesema Kikosi chake hakina nafasi kwa Mchezaji ambae hayuko fiti na wasitegemea watachukuliwa kwenda Fainali Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Juni mwakani ikiwa hawakuthibitisha uimara wao.Capello anategemewa kutangaza Kikosi chake kitakachocheza mechi ya kirafiki na Brazil Jumamosi tarehe 14 Novemba 2009 huko Doha, Qatar muda wowote leo.Capello amemzungumzia Rio Ferdinand na kusema ikiwa atakuwa fiti kabla hajateua Kikosi chake cha mwisho basi ataenda nae Afrka Kusini lakini ameonya kuwa Ledley King, Beki wa Tottenham, na Kipa David James wana mashaka makubwa kutokana na kuwa majeruhi.Kuhusu David James, Capello alisema: "James anacheza vizuri lakini tangu aumie akicheza mechi baadae hawezi kufanya mazoezi siku mbili.

Jinsi Nilivyomuumba Mke Ninayemtaka"

Dokta Reza Vossough alichukia maumbile ya mwanamke aliyetaka kumuoa lakini aliamua kumuoa ili amfanyie operesheni kibao za kubadilisha maumbile yake awe kama alivyopenda yeye mke wake awe.







Daktari wa operesheni za urembo za kurekebisha maumbile wa nchini Ujerumani Reza Vossough, amejitamba jinsi alivyomuoa mwanamke asiye na mvuto wowote na kumfanyia operesheni kila kona ya mwili wake kumgeuza mwanamke mwenye mvuto kwa jinsi alivyotaka yeye. Pichani Cany Vossough alivyo sasa baada ya operesheni kibao za kurekebisha maumbile yake. Gonga Life Style Pembeni kushoto kusoma habari kamili.






lil Wayne At The Miami Heat game with


got some pictures of Lil Wayne at the Miami Heat verses Denver Nuggets game with Common. You can see some photo this: