Afrika kujua leo Nchi 3 zitakazoungana na Wenyeji Afrika Kusini, Ghana na Ivory Coast Fainali!!!Saturday, November 14, 2009
Afrika kujua leo Nchi 3 zitakazoungana na Wenyeji Afrika Kusini, Ghana na Ivory Coast Fainali!!!Tuesday, November 10, 2009

Sunday, November 8, 2009
Boss Wa England Fabio Capello Ajalibu Kuwaonya Majeruhi!!!
Yule Boss wa England, Fabio Capello, amesema Kikosi chake hakina nafasi kwa Mchezaji ambae hayuko fiti na wasitegemea watachukuliwa kwenda Fainali Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Juni mwakani ikiwa hawakuthibitisha uimara wao.Capello anategemewa kutangaza Kikosi chake kitakachocheza mechi ya kirafiki na Brazil Jumamosi tarehe 14 Novemba 2009 huko Doha, Qatar muda wowote leo.Capello amemzungumzia Rio Ferdinand na kusema ikiwa atakuwa fiti kabla hajateua Kikosi chake cha mwisho basi ataenda nae Afrka Kusini lakini ameonya kuwa Ledley King, Beki wa Tottenham, na Kipa David James wana mashaka makubwa kutokana na kuwa majeruhi.Kuhusu David James, Capello alisema: "James anacheza vizuri lakini tangu aumie akicheza mechi baadae hawezi kufanya mazoezi siku mbili.Jinsi Nilivyomuumba Mke Ninayemtaka"


Daktari wa operesheni za urembo za kurekebisha maumbile wa nchini Ujerumani Reza Vossough, amejitamba jinsi alivyomuoa mwanamke asiye na mvuto wowote na kumfanyia operesheni kila kona ya mwili wake kumgeuza mwanamke mwenye mvuto kwa jinsi alivyotaka yeye. Pichani Cany Vossough alivyo sasa baada ya operesheni kibao za kurekebisha maumbile yake. Gonga Life Style Pembeni kushoto kusoma habari kamili.Saturday, October 31, 2009
NILIVYO ONA NILISHTUKA NIKA SEMA SIWEZI KUSITAJABU MIMI KUNA WADAUS


Uma ukitolewa toka kwenye tumbo lake wakati wa operesheni pembeni kulia ni baadhi ya vijiko na uma vilitolewa toka kwenye tumbo lake.
Madaktari nchini Ujerumani ilibidi wamfanyie operesheni ya dharura mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Margaret Daalman ambaye alikuwa akimeza vijiko na uma kila alipokuwa akila kwa muda mrefu kiasi cha kwamba jumla ya vijiko na uma 78 vilitolewa toka kwenye tumbo lake. Pichani Lundo la vijiko na uma vikiwa vimekusanyika kwenye tumbo lake. GONGA LIFE STYLE kwa habari zaidi.

Katika dabi ya Timu za Kaskazini ya London, Arsenal wakiwa kwao Emirates Stadium waliwapiga Tottenham mabao 3-0 kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyoanza mapema kuliko mechi nyingine za leo Jumamosi Oktoba 31.Mpaka mapumziko Arsenal walikuwa mbele kwa bao 2-0 kwa mabao yaliyofungwa ndani ya dakika moja katika dakika ya 43 Mfungaji akiwa Van Persie na la pili sekunde chache baadae kwa bao zuri sana la Nahodha Fabregas. Bao la 3 alifunga Van Persie.Vikosi:Arsenal: Almunia, Sagna, Gallas, Vermaelen, Clichy, Fabregas, Song Billong, Diaby, Bendtner, van Persie, Arshavin. AKIBA: Mannone, Senderos, Nasri, Eduardo, Ramsey, Eboue, Gibbs. Tottenham: Gomes, Corluka, King, Bassong, Assou-Ekotto, Bentley, Huddlestone, Palacios, Jenas, Keane, Crouch. AKIBA: Button, Hutton, Bale, Pavlyuchenko, Dawson, Kranjcar, Woodgate. Refa: Mark Clattenburg .
Monday, October 26, 2009
Milan certain of Beckham deal

AC Milan vice-president Adriano Galliani is "100% certain" David Beckham will return to the San Siro outfit in the winter transfer market.
The England midfielder has been strongly linked with a second loan spell at the Rossoneri to improve his chances of making Fabio Capello's FIFA World Cup™ squad.
Galliani told the Italian media: "Beckham's arrival is certain to happen, 100%. The agreement is done and all that is missing are the signatures."
The 34-year-old Beckham returned to the Los Angeles Galaxy in the summer after a successful six-month loan spell with Milan, where he helped the Rossoneri finish fourth in Serie A with two story by
Lil Wayne – Run This Town [No Ceilings]

Wednesday, October 21, 2009

MASKINI: Liverpool ni vipigo mfululizo!!!! Barca waaibishwa Nou Camp!!!
echi za jana za UEFA CHAMPIONS LEAGUE zimeleta matokeo yasiyotarajiwa na magoli bwelele huku ajabu kubwa ni pale Warusi Rubin Kazan walipowakung’uta Mabingwa Watetezi wa Ulaya FC Barcelona kwa bao 2-1 tena wakiwa nyumbani kwao Nou Camp.
Liverpool wameendelea kupata vipigo mfululizo ingawa jana sio puto ndio liliwafunga bali ni goli la dakika za majeruhi wakiwa kwenye ngome yao Anfield na pia kupata athari kubwa pale mhimili wao na Nahodha wao Steven Gerrard kucheza dakika 25 tu za mwanzo na kulazimika kutoka baada ya kuumia.
Matokeo ya mechi ya jana ambayo Liverpool alifungwa 2-1 na Lyon ya Ufaransa yamedhihirisha ile imani ya wengi kuwa Liverpool bila Gerrard na Torres ni nyanya tu. Jana Torres hakucheza kabisa.
Sasa, baada ya vipigo mfululizo, Jumapili kwenye Ligi Kuuu, Liverpool wanawakaribisha Mahasimu wao wakubwa Manchester United na hilo linawatia homa Mashabiki wa Liverpool.
Arsenal wakiwa ugenini huko Uholanzi na huku wakiongoza bao 1-0 walilazimishwa sare ya 1-1 na AZ Alkmaar.
Rangers ya Scotland iliadhiriwa vibaya ikiwa nyumbani baada ya kuchapwa bao 4-1 na Unirea Urziceni.
Sevilla, baada ya mechi 3 tu, wameweka rekodi huko Ulaya baada ya kufuzu kusonga mbele Raundi nyingine baada ya mechi 3 tu.
Matokeo kamili mechi za jana Jumanne, Oktoba 20:
KUNDI E
Liverpool 1 Lyon 2
Debrecen 3 Fiorentina 4
KUNDI F
Inter Milan 2 Dynamo Kiev 2
Barcelona 1 Rubin Kazan 2
KUNDI G
Stuttgart 1 Sevilla 3
Rangers 1 Unirea Urziceni 4
KUNDI H
AZ Alkmaar 1 Arsenal 1
Olympiakos 2 Standard Liege 1
Monday, October 12, 2009
Big Brother Revolution: Images from Day 35 - SUNDAY OCTOBER 11




