Wednesday, February 17, 2010

Leo kati ya....!!!

Kama kawaida chalenji zinaendele makundi kwa makundi l
LEO IFIKAPO SAA 4:45 NISAA ZA EAST AFRICA
Arsenal vs Fc porto.
Bayern vs Fiorentina

Ac milan vs Man utd...!! Mh¿ Sina mengi tupate matokeo kamili.

Acm wanapata gol 1 kunako dakika ya 2 Ronaldinho ana pata gol hilo. Na kunako dakika za 36 mshambulizi wa Man anapata gol 1 Scholes amefunga gol hilo.Wayne Rooney ana wapatia gol la 2 kunako dakika za 65 da..!! Sijawapata picha mashabiki wa Man u maana wayne rooney ana ongeza gol la 3 katika dakika za 74. Ukunako dakika 84 ac milan wana jipati gol la 2 Mshambuliaji sidof anajikung'utia gol hilo.Nampaka mwisho wa mchezo man u wana ongoza ugenini.
Man utd~3
Ac milan~2

Tuesday, February 16, 2010

Leo barani europa!

Kunako saa4:45 kuta kuwa na mech kabambe kata ya Ac MILAN vs MAN UNTED
Nauku LYON vs REAK MADRID ni muda mmoja.

Monday, February 15, 2010

Outlandish wamo kumbe.!!!!

outlandish

Ni wakali to pande za oman laiti kama 2ngekua na ushiriano kama hilikundi basi tunge fikambali ki music kuna vibao vingi sana na moja wapo fly, am calling naka dhari ukitaka zaidi tembelea www.outlandish.com uta vipata.