Wednesday, February 17, 2010

Ac milan vs Man utd...!! Mh¿ Sina mengi tupate matokeo kamili.

Acm wanapata gol 1 kunako dakika ya 2 Ronaldinho ana pata gol hilo. Na kunako dakika za 36 mshambulizi wa Man anapata gol 1 Scholes amefunga gol hilo.Wayne Rooney ana wapatia gol la 2 kunako dakika za 65 da..!! Sijawapata picha mashabiki wa Man u maana wayne rooney ana ongeza gol la 3 katika dakika za 74. Ukunako dakika 84 ac milan wana jipati gol la 2 Mshambuliaji sidof anajikung'utia gol hilo.Nampaka mwisho wa mchezo man u wana ongoza ugenini.
Man utd~3
Ac milan~2

No comments:

Post a Comment