Tuesday, November 16, 2010

Ninayo furaha kubwa....

Happy"EID AL HAJJ" IFIKAPO KESHO2 WAISILAM WOTE WANAYO FURAHA YA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MFUNGO TA2 KAMA INAVYO FANYIKAGA KILA MWAKA NOW IMEANGUKIA SIKU YA JUMATANO NI KATIKATI YA WIKI CNAMENGI KUKUJURISHENI NA HOLIDAY NJEMAA WAPENZI WADAU 2TAONANA KATIKA KIGONGO KIJACHO.

Ninayo furaha kubwa....

Happy"EID AL HAJJ" IFIKAPO KESHO2 WAISILAM WOTE WANAYO FURAHA YA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MFUNGO TA2 KAMA INYO FANYIKAGA KILAMWAKA NOW IMEANGUKIA SIKU YA JUMATANO NI KATIKATI YA WIKI CNAMENGI KUKUJURISHENI NA HOLIDAY NJEMAA WAPENZI WADAU 2TAONANA KATIKA KIGONGO KIJACHO.

Saturday, September 11, 2010

happy all!!!!!!!!!!!!!!!

Ebana sir god ni ana staiki kila happen kwa kumaliza kheri ramadhani qareem na na kutakieni kila la kheri nyote

Wednesday, June 2, 2010

new film!! 2010


Directed by Anurag Basu
Produced by Rakesh Roshan
Sharan Kapoor
Starring Hrithik Roshan
Barbara Mori
Kangana Ranaut
Kabir Bedi
Nick Brown
Music by Rajesh Roshan
Cinematography Ayananka Bose[1]
Editing by Avik Ali[2]
Distributed by Reliance BIG Pictures
Release date(s) May 21, 2010 (Hindi version)
May 28, 2010 (English version)
Running time 130 minutes (Hindi version)
90 minutes (English version)
Country India
Language Hindi
English
Spanish
Budget Rs. 60 crore (US$ 13.38 million)[3]
Gross revenue Rs. 62 crore (US$ 13.83 million)[4]

baadhi za photo !!
ni kijana aliye kubalika duniani ususani katika soko la sanaa ndanii ya ujio mpya wa film
na basi tuki zungumzia bollwoody wote tuna faham kwamba
toka mnamo 1888 had 1988 wanatimiza miaka 100 ya utengenezaji wa film
nabasi toka 1913 had 2013 pia wanatimiza miaka 100 ya film yao ya kwanza kutoa rangi yani toka black and white hadi rangi yakawaida nihayo tu mpenzi mdau..
tukutane tena katika ujio mpya mwingine

Wednesday, April 28, 2010

ni hayoo!!


don’t know if anyone can remember, but we posted a Weezy snippet early this year, and it now looks like we finally have the full, mastered version. Jae Millz and Lil Wayne both go in over Gucci Mane’s and Nicki Minaj’s “Pussy Nigga” record, and this song was featured on Millzy’s The Flood Continues mixtape (which will be on YMHQ later today). You can listen and download the track below:

Sunday, April 11, 2010

MPENZI MDAU!!!

Nimuda mrefu hatuja pest habari na na kwa hilo but am very sorry 4 that napenda sana na ila nikukua masomoni but 2po pa1 na 2tazidi kuku lete habari mbali mbali mh ah a ti....
Na cnamengi zaidi nakutakieni kila la kheri

Wednesday, February 17, 2010

Leo kati ya....!!!

Kama kawaida chalenji zinaendele makundi kwa makundi l
LEO IFIKAPO SAA 4:45 NISAA ZA EAST AFRICA
Arsenal vs Fc porto.
Bayern vs Fiorentina

Ac milan vs Man utd...!! Mh¿ Sina mengi tupate matokeo kamili.

Acm wanapata gol 1 kunako dakika ya 2 Ronaldinho ana pata gol hilo. Na kunako dakika za 36 mshambulizi wa Man anapata gol 1 Scholes amefunga gol hilo.Wayne Rooney ana wapatia gol la 2 kunako dakika za 65 da..!! Sijawapata picha mashabiki wa Man u maana wayne rooney ana ongeza gol la 3 katika dakika za 74. Ukunako dakika 84 ac milan wana jipati gol la 2 Mshambuliaji sidof anajikung'utia gol hilo.Nampaka mwisho wa mchezo man u wana ongoza ugenini.
Man utd~3
Ac milan~2

Tuesday, February 16, 2010

Leo barani europa!

Kunako saa4:45 kuta kuwa na mech kabambe kata ya Ac MILAN vs MAN UNTED
Nauku LYON vs REAK MADRID ni muda mmoja.

Monday, February 15, 2010

Outlandish wamo kumbe.!!!!

outlandish

Ni wakali to pande za oman laiti kama 2ngekua na ushiriano kama hilikundi basi tunge fikambali ki music kuna vibao vingi sana na moja wapo fly, am calling naka dhari ukitaka zaidi tembelea www.outlandish.com uta vipata.

Sunday, January 31, 2010

Arsenal vs Man utd..!!!

Baada ya kukaa muda mrefu mpenzi mdau nimeibuka kwa mechi tafu na aijajulikana nani atoka bingwa kwa leo mana...Mh
kunako dakika za 32 Man wana jipatia goli 1 Nani ndo aliye jisukumia ilo goli da naifi kapo dakika za 36 Man wanajipatia tena pale goli la 2 mfungaji ni Rooney
NIKIPINDI CHAKWANZA TU..! MAN UTD WANAONGOZA 2 BILA DAKIKA ZA 32 MCHEZAJI WA MAN UTN ANAKWEND KWA JINA NANI NA KUWAPA KIPIGO ARSENAL NAKUNAKO DAKIKA ZA 36 WAYNE ROONEY ANA WAPA TENA MAUMIVU MAKALI ARSENAL NA KIPINDI CHA PILI
mwisho wa mchezo
Man Utd - 3
Arsenal - 1

Saturday, January 2, 2010

Mechi za leo FA cup Baran europa!

Man City vs Middle
zita cheza saa 12:00 za kibongo
Liver pool vs Reading saa 2:00
Barcelona vs Villa real saa 3:45