Thursday, December 31, 2009

Haya funga mwaka na....!!!

Katika mechi zilizo cheza jana matokeo yake ni haya ususani katika bara la europer ndani ya England
Arsenal yamchapa Ports mouth 4 kwa 1
Arsenal~4
Ports mouth~1
Namchezo uliopishana nusu saa tu yani Man utd vs Wigan. pia wigan wapata kipondo toka kwa man utd 5 kwa mtungi kweli siku yakufa nyani miti yote huteleza wahenga usema.
MAN UTD~5
WIGAN~0
MWisho ya yote nihayo. Nakutakieni HAPPY NEW YEAR wadau.

Monday, December 28, 2009

Akika Dunia! Matau,

Watu wengi wamemaliza vema sikukuu yao na pia twa subiri Happay New Year jana tulishudia Yanga yamtandika sofapaka 2 kwa 1 na ushindi kwenda kwa YANGA
NAHUKU ARSENAL VS A.VILLA
Arsenal yamchapa vill 3-0
arsenal-3
a.villa-0

Thursday, December 17, 2009

Matokeo yaliyo jili kwenye blog yeto europa!

Mh! Mchanange ulicheza na tim mashuhuri duniani tupate natokeo
Burnely kutoka sale na Arsenal
Burnely-1
Arsenal- 1
NAYE:Chelsea kumchapa Portsmouth 2 kwa 1 Chelsea-2
Portsmouth-1
NA Liver poor kumtandika Wigan 2 kwa 1
Liver poor-2
Wigan-1

Wednesday, December 16, 2009

Katika ulimwengu wa soka baran ulaya akika timwili lajana

Man Utd ya mpiga Wolves 3-0 bila jana Man wajiongeze pwent .
NA LEO IFIKAPO SAA 1:00 Atlanta vs Barcelona
NA PIA SAA 4:45 Chelsea vs Porsmo
Arsenal vs Burnel

Tuesday, December 15, 2009

Juzi tu juma mosi Man utd ilipata kipigo toka katita tim pinzani wolf1-0
SASA LEO SAA 4:45
Man Utd vs Wolves
Bolton vs West ham

Sunday, December 13, 2009

Leo ndio leo asema kesho muongo!

Ni mbwe mbwe za unjani kama ilivyo aya sasa mdau tupate habari kamili. Ni Liver poor vs Arsenal
arsenal wapo ugenini .mpira umeanza kunako saa 1 :00 za East Africa. Katika dakika ya 11 torres nakosa bao kunako dakika ya 40 kipind cha kwanza kuyt mshambuliaji wa Liver anapata gori moja. Na kunako dakika ya 49 samir nasri anapata bao moja ni mshambuliaji wa Arsenal. Pia dakika ya 57 arsenal wana pata gor la 2 Arshavin anajipatia.Da! Yani uwezi amini mpaka mzezo unaisha Arsenal wanaongoza mabao 2
Liver poor-1
Arsenal-2

Usiku mkubwa da nime shudia vingi sana kwa usiku wa juma mosi kuamki juma pili

Mdau uwezi amini yani wengi wao wana furaha na wengi wao wana uzuni na palepale wana celebrate kwenye kumbi mbalimbali na hakika usku waleo wapenz wa man utd hawata usahau usku leo.Na katika kumbi za cinema walio shuhudi Aston villa kujipatia gori moko kwa tim pinzani Man utd nakutoka sifuri akika man wali kosa magori zaid ya 9. Nasiku kama ya leo hatuto weza kupata tena itatokea lakin tarehe si kama yaleo na mwaka si kama wa leo the gud day

Friday, December 11, 2009

LIGI KUU BARAN UROPA USUSAN NCHIN ENGLAND JUMAMOSI 12/DEC/2009

Birmingham vs Westham *Bolton vs Man city *Burnley vs Fullham *Chelsea vs Everton *Hall vs Black barn *Man utd vs Aston vill *Stoke vs Wigan

Wednesday, December 9, 2009

Kama tulivo shuhudia Man utd 3-o wor
na huku realmadrid3-1maselle
Na tukirudi leo katika kombe la cecafa africa
ifikapo saa 9:00
zanzibar
vs
uganda
Tukirudi baran ueropa!
Ifikapo saa 4:45za afrika mashariki
Arsenal
vs
Olimpic
Barcelona
vs
Dynamukiv

9/dec/2009 sherehe ya miaka 48 ya uhuru

Kama una vyo som mdau watu wame fana na mpaka sasa wananchi wanaonge zeka kungia ndan ya uwanja wa uhuru

Tuesday, December 8, 2009

Tukirudi baran la ulopa!

Ususani Europer leo ifikapo saa 4:45
Man utd
vs
Wolfsrug

Maselle
vs
Realmadrid
kitakacho toke kataka mech hiz jaribu kufatiria blog hii mdau tupo pamoja

Wadau nyote karibuni uwanja wetu wa uhuru maana naona shamlashamla ...!!!

panapo majaliwa yake mola kesho tarehe 9/dec/2009 watanzania wote wanayo furaha yakuwaali wageni wote wa nje ya nch kuwa kutakuwa na sherehe ya kusherekea miaka 48 ya uhuru so wageni wote mnakaribishwa na watanzania wote kinacho jili nitawatarifu wote wadau

Monday, December 7, 2009

Nimengi yaliyo tokea anga za kimataifa ususani america

Yule mcheza mieleka wa marekani anakwenda kwa jina la umaga Amefariki dunia ukitaka habari zaidi ingia hapa www.wwe.com

Tuesday, December 1, 2009

money 4 nothing!!!!!!


There is no doubt that money talks loudly in soccer. But for Real Madrid, the almighty Euro is not flexing its vocal chords as much as the club would like right now.
Watching hated rival Barcelona win an unprecedented Treble while struggling both domestically and in Europe was a bitter pill to swallow for Real. The humiliating experience prompted a glut of summer spending at the Bernabeu, with Cristiano Ronaldo, Kaka and Karim Benzema all arriving in blockbuster transfer moves.