Tuesday, December 8, 2009

Wadau nyote karibuni uwanja wetu wa uhuru maana naona shamlashamla ...!!!

panapo majaliwa yake mola kesho tarehe 9/dec/2009 watanzania wote wanayo furaha yakuwaali wageni wote wa nje ya nch kuwa kutakuwa na sherehe ya kusherekea miaka 48 ya uhuru so wageni wote mnakaribishwa na watanzania wote kinacho jili nitawatarifu wote wadau

No comments:

Post a Comment