Thursday, December 31, 2009

Haya funga mwaka na....!!!

Katika mechi zilizo cheza jana matokeo yake ni haya ususani katika bara la europer ndani ya England
Arsenal yamchapa Ports mouth 4 kwa 1
Arsenal~4
Ports mouth~1
Namchezo uliopishana nusu saa tu yani Man utd vs Wigan. pia wigan wapata kipondo toka kwa man utd 5 kwa mtungi kweli siku yakufa nyani miti yote huteleza wahenga usema.
MAN UTD~5
WIGAN~0
MWisho ya yote nihayo. Nakutakieni HAPPY NEW YEAR wadau.

No comments:

Post a Comment