Sunday, December 13, 2009

Usiku mkubwa da nime shudia vingi sana kwa usiku wa juma mosi kuamki juma pili

Mdau uwezi amini yani wengi wao wana furaha na wengi wao wana uzuni na palepale wana celebrate kwenye kumbi mbalimbali na hakika usku waleo wapenz wa man utd hawata usahau usku leo.Na katika kumbi za cinema walio shuhudi Aston villa kujipatia gori moko kwa tim pinzani Man utd nakutoka sifuri akika man wali kosa magori zaid ya 9. Nasiku kama ya leo hatuto weza kupata tena itatokea lakin tarehe si kama yaleo na mwaka si kama wa leo the gud day

No comments:

Post a Comment