Wednesday, December 25, 2013

Sikia hii nyengine tena LG matatani kuhusu faragha


Kampuni ya televisheni, ya LG inachunguza madai kuwa baadhi ya tevisheni zake zinatuma taarifa kwa kampuni hiyo kuhusu zinavyotumiwa na wanaozimiliki, licha ya watumiaji kuhakikisha kuwa faragha zinalindwa.

No comments:

Post a Comment