Sunday, January 31, 2010

Arsenal vs Man utd..!!!

Baada ya kukaa muda mrefu mpenzi mdau nimeibuka kwa mechi tafu na aijajulikana nani atoka bingwa kwa leo mana...Mh
kunako dakika za 32 Man wana jipatia goli 1 Nani ndo aliye jisukumia ilo goli da naifi kapo dakika za 36 Man wanajipatia tena pale goli la 2 mfungaji ni Rooney
NIKIPINDI CHAKWANZA TU..! MAN UTD WANAONGOZA 2 BILA DAKIKA ZA 32 MCHEZAJI WA MAN UTN ANAKWEND KWA JINA NANI NA KUWAPA KIPIGO ARSENAL NAKUNAKO DAKIKA ZA 36 WAYNE ROONEY ANA WAPA TENA MAUMIVU MAKALI ARSENAL NA KIPINDI CHA PILI
mwisho wa mchezo
Man Utd - 3
Arsenal - 1

Saturday, January 2, 2010

Mechi za leo FA cup Baran europa!

Man City vs Middle
zita cheza saa 12:00 za kibongo
Liver pool vs Reading saa 2:00
Barcelona vs Villa real saa 3:45