Sunday, December 13, 2009

Leo ndio leo asema kesho muongo!

Ni mbwe mbwe za unjani kama ilivyo aya sasa mdau tupate habari kamili. Ni Liver poor vs Arsenal
arsenal wapo ugenini .mpira umeanza kunako saa 1 :00 za East Africa. Katika dakika ya 11 torres nakosa bao kunako dakika ya 40 kipind cha kwanza kuyt mshambuliaji wa Liver anapata gori moja. Na kunako dakika ya 49 samir nasri anapata bao moja ni mshambuliaji wa Arsenal. Pia dakika ya 57 arsenal wana pata gor la 2 Arshavin anajipatia.Da! Yani uwezi amini mpaka mzezo unaisha Arsenal wanaongoza mabao 2
Liver poor-1
Arsenal-2

No comments:

Post a Comment