Sunday, November 8, 2009

Jinsi Nilivyomuumba Mke Ninayemtaka"

Dokta Reza Vossough alichukia maumbile ya mwanamke aliyetaka kumuoa lakini aliamua kumuoa ili amfanyie operesheni kibao za kubadilisha maumbile yake awe kama alivyopenda yeye mke wake awe.







Daktari wa operesheni za urembo za kurekebisha maumbile wa nchini Ujerumani Reza Vossough, amejitamba jinsi alivyomuoa mwanamke asiye na mvuto wowote na kumfanyia operesheni kila kona ya mwili wake kumgeuza mwanamke mwenye mvuto kwa jinsi alivyotaka yeye. Pichani Cany Vossough alivyo sasa baada ya operesheni kibao za kurekebisha maumbile yake. Gonga Life Style Pembeni kushoto kusoma habari kamili.






No comments:

Post a Comment