Friday, August 14, 2009

Mzee Kingunge Amepwelea-Kanisa Katoliki

Pichani Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
MALUIMBANO kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki (RC)yanaendelea kuwa makali, baada ya waumini wa kanisa hilo kumuelezea mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru kuwa amepwelea.Mbali na kauli hiyo iliyotolewa jana na Baraza la Walei,Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Valentino Mokiwa amemtaka Kingunge kuliomba radhi kanisa badala ya kuombwa radhi kama alivyotaka.

No comments:

Post a Comment