Monday, August 17, 2009

WATU WAFURIKA KUSIKILIZA HUKUMU YA ZOMBE NA WENZAKE!!



Umati wa watu wakiwa wamefurika katika mahakama kuu ya Tanzania ili kusikiliza hukumu ya Abdalla Zombe ambayo inatolewa leo mahakamani hapo kama unavyoona vipaza sauti vimefungwa katika mahakama hiyo ili kila mtu atakaye hudhuria mahakamani hapo hata kama hatakuwa katika chumba inaposomwa hukumu hiyo asikie wakati itakapotolewa.

No comments:

Post a Comment