Thursday, December 31, 2009
Haya funga mwaka na....!!!
Arsenal yamchapa Ports mouth 4 kwa 1
Arsenal~4
Ports mouth~1
Namchezo uliopishana nusu saa tu yani Man utd vs Wigan. pia wigan wapata kipondo toka kwa man utd 5 kwa mtungi kweli siku yakufa nyani miti yote huteleza wahenga usema.
MAN UTD~5
WIGAN~0
MWisho ya yote nihayo. Nakutakieni HAPPY NEW YEAR wadau.
Monday, December 28, 2009
Akika Dunia! Matau,
NAHUKU ARSENAL VS A.VILLA
Arsenal yamchapa vill 3-0
arsenal-3
a.villa-0
Thursday, December 17, 2009
Matokeo yaliyo jili kwenye blog yeto europa!
Burnely kutoka sale na Arsenal
Burnely-1
Arsenal- 1
NAYE:Chelsea kumchapa Portsmouth 2 kwa 1 Chelsea-2
Portsmouth-1
NA Liver poor kumtandika Wigan 2 kwa 1
Liver poor-2
Wigan-1
Wednesday, December 16, 2009
Katika ulimwengu wa soka baran ulaya akika timwili lajana
NA LEO IFIKAPO SAA 1:00 Atlanta vs Barcelona
NA PIA SAA 4:45 Chelsea vs Porsmo
Arsenal vs Burnel
Tuesday, December 15, 2009
SASA LEO SAA 4:45
Man Utd vs Wolves
Bolton vs West ham
Sunday, December 13, 2009
Leo ndio leo asema kesho muongo!
arsenal wapo ugenini .mpira umeanza kunako saa 1 :00 za East Africa. Katika dakika ya 11 torres nakosa bao kunako dakika ya 40 kipind cha kwanza kuyt mshambuliaji wa Liver anapata gori moja. Na kunako dakika ya 49 samir nasri anapata bao moja ni mshambuliaji wa Arsenal. Pia dakika ya 57 arsenal wana pata gor la 2 Arshavin anajipatia.Da! Yani uwezi amini mpaka mzezo unaisha Arsenal wanaongoza mabao 2
Liver poor-1
Arsenal-2
Usiku mkubwa da nime shudia vingi sana kwa usiku wa juma mosi kuamki juma pili
Friday, December 11, 2009
LIGI KUU BARAN UROPA USUSAN NCHIN ENGLAND JUMAMOSI 12/DEC/2009
Wednesday, December 9, 2009
na huku realmadrid3-1maselle
Na tukirudi leo katika kombe la cecafa africa
ifikapo saa 9:00
zanzibar
vs
uganda
Tukirudi baran ueropa!
Ifikapo saa 4:45za afrika mashariki
Arsenal
vs
Olimpic
Barcelona
vs
Dynamukiv
9/dec/2009 sherehe ya miaka 48 ya uhuru
Tuesday, December 8, 2009
Tukirudi baran la ulopa!
Man utd
vs
Wolfsrug
Maselle
vs
Realmadrid
kitakacho toke kataka mech hiz jaribu kufatiria blog hii mdau tupo pamoja
Wadau nyote karibuni uwanja wetu wa uhuru maana naona shamlashamla ...!!!
Monday, December 7, 2009
Nimengi yaliyo tokea anga za kimataifa ususani america
Tuesday, December 1, 2009
money 4 nothing!!!!!!

Watching hated rival Barcelona win an unprecedented Treble while struggling both domestically and in Europe was a bitter pill to swallow for Real. The humiliating experience prompted a glut of summer spending at the Bernabeu, with Cristiano Ronaldo, Kaka and Karim Benzema all arriving in blockbuster transfer moves.
Friday, November 27, 2009
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA WEEKEND NJEMA MDAU
PANAPO MAJALIWA YA MWENYEZI MUNGU KESHO SIKUKU NDUGU ZANGU WOTE WAISLAM SALUYA44 INAKUTAKIA IDD ALL-KHAJI NZURI KABISA NA WEEK END NJEMA.. SINA MENGI KWA WADAU WANGU.Saturday, November 14, 2009
Afrika kujua leo Nchi 3 zitakazoungana na Wenyeji Afrika Kusini, Ghana na Ivory Coast Fainali!!!Tuesday, November 10, 2009

Sunday, November 8, 2009
Boss Wa England Fabio Capello Ajalibu Kuwaonya Majeruhi!!!
Yule Boss wa England, Fabio Capello, amesema Kikosi chake hakina nafasi kwa Mchezaji ambae hayuko fiti na wasitegemea watachukuliwa kwenda Fainali Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Juni mwakani ikiwa hawakuthibitisha uimara wao.Capello anategemewa kutangaza Kikosi chake kitakachocheza mechi ya kirafiki na Brazil Jumamosi tarehe 14 Novemba 2009 huko Doha, Qatar muda wowote leo.Capello amemzungumzia Rio Ferdinand na kusema ikiwa atakuwa fiti kabla hajateua Kikosi chake cha mwisho basi ataenda nae Afrka Kusini lakini ameonya kuwa Ledley King, Beki wa Tottenham, na Kipa David James wana mashaka makubwa kutokana na kuwa majeruhi.Kuhusu David James, Capello alisema: "James anacheza vizuri lakini tangu aumie akicheza mechi baadae hawezi kufanya mazoezi siku mbili.Jinsi Nilivyomuumba Mke Ninayemtaka"


Daktari wa operesheni za urembo za kurekebisha maumbile wa nchini Ujerumani Reza Vossough, amejitamba jinsi alivyomuoa mwanamke asiye na mvuto wowote na kumfanyia operesheni kila kona ya mwili wake kumgeuza mwanamke mwenye mvuto kwa jinsi alivyotaka yeye. Pichani Cany Vossough alivyo sasa baada ya operesheni kibao za kurekebisha maumbile yake. Gonga Life Style Pembeni kushoto kusoma habari kamili.Saturday, October 31, 2009
NILIVYO ONA NILISHTUKA NIKA SEMA SIWEZI KUSITAJABU MIMI KUNA WADAUS


Uma ukitolewa toka kwenye tumbo lake wakati wa operesheni pembeni kulia ni baadhi ya vijiko na uma vilitolewa toka kwenye tumbo lake.
Madaktari nchini Ujerumani ilibidi wamfanyie operesheni ya dharura mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Margaret Daalman ambaye alikuwa akimeza vijiko na uma kila alipokuwa akila kwa muda mrefu kiasi cha kwamba jumla ya vijiko na uma 78 vilitolewa toka kwenye tumbo lake. Pichani Lundo la vijiko na uma vikiwa vimekusanyika kwenye tumbo lake. GONGA LIFE STYLE kwa habari zaidi.

Katika dabi ya Timu za Kaskazini ya London, Arsenal wakiwa kwao Emirates Stadium waliwapiga Tottenham mabao 3-0 kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyoanza mapema kuliko mechi nyingine za leo Jumamosi Oktoba 31.Mpaka mapumziko Arsenal walikuwa mbele kwa bao 2-0 kwa mabao yaliyofungwa ndani ya dakika moja katika dakika ya 43 Mfungaji akiwa Van Persie na la pili sekunde chache baadae kwa bao zuri sana la Nahodha Fabregas. Bao la 3 alifunga Van Persie.Vikosi:Arsenal: Almunia, Sagna, Gallas, Vermaelen, Clichy, Fabregas, Song Billong, Diaby, Bendtner, van Persie, Arshavin. AKIBA: Mannone, Senderos, Nasri, Eduardo, Ramsey, Eboue, Gibbs. Tottenham: Gomes, Corluka, King, Bassong, Assou-Ekotto, Bentley, Huddlestone, Palacios, Jenas, Keane, Crouch. AKIBA: Button, Hutton, Bale, Pavlyuchenko, Dawson, Kranjcar, Woodgate. Refa: Mark Clattenburg .
Monday, October 26, 2009
Milan certain of Beckham deal

AC Milan vice-president Adriano Galliani is "100% certain" David Beckham will return to the San Siro outfit in the winter transfer market.
The England midfielder has been strongly linked with a second loan spell at the Rossoneri to improve his chances of making Fabio Capello's FIFA World Cup™ squad.
Galliani told the Italian media: "Beckham's arrival is certain to happen, 100%. The agreement is done and all that is missing are the signatures."
The 34-year-old Beckham returned to the Los Angeles Galaxy in the summer after a successful six-month loan spell with Milan, where he helped the Rossoneri finish fourth in Serie A with two story by
Lil Wayne – Run This Town [No Ceilings]

Wednesday, October 21, 2009

MASKINI: Liverpool ni vipigo mfululizo!!!! Barca waaibishwa Nou Camp!!!
echi za jana za UEFA CHAMPIONS LEAGUE zimeleta matokeo yasiyotarajiwa na magoli bwelele huku ajabu kubwa ni pale Warusi Rubin Kazan walipowakung’uta Mabingwa Watetezi wa Ulaya FC Barcelona kwa bao 2-1 tena wakiwa nyumbani kwao Nou Camp.
Liverpool wameendelea kupata vipigo mfululizo ingawa jana sio puto ndio liliwafunga bali ni goli la dakika za majeruhi wakiwa kwenye ngome yao Anfield na pia kupata athari kubwa pale mhimili wao na Nahodha wao Steven Gerrard kucheza dakika 25 tu za mwanzo na kulazimika kutoka baada ya kuumia.
Matokeo ya mechi ya jana ambayo Liverpool alifungwa 2-1 na Lyon ya Ufaransa yamedhihirisha ile imani ya wengi kuwa Liverpool bila Gerrard na Torres ni nyanya tu. Jana Torres hakucheza kabisa.
Sasa, baada ya vipigo mfululizo, Jumapili kwenye Ligi Kuuu, Liverpool wanawakaribisha Mahasimu wao wakubwa Manchester United na hilo linawatia homa Mashabiki wa Liverpool.
Arsenal wakiwa ugenini huko Uholanzi na huku wakiongoza bao 1-0 walilazimishwa sare ya 1-1 na AZ Alkmaar.
Rangers ya Scotland iliadhiriwa vibaya ikiwa nyumbani baada ya kuchapwa bao 4-1 na Unirea Urziceni.
Sevilla, baada ya mechi 3 tu, wameweka rekodi huko Ulaya baada ya kufuzu kusonga mbele Raundi nyingine baada ya mechi 3 tu.
Matokeo kamili mechi za jana Jumanne, Oktoba 20:
KUNDI E
Liverpool 1 Lyon 2
Debrecen 3 Fiorentina 4
KUNDI F
Inter Milan 2 Dynamo Kiev 2
Barcelona 1 Rubin Kazan 2
KUNDI G
Stuttgart 1 Sevilla 3
Rangers 1 Unirea Urziceni 4
KUNDI H
AZ Alkmaar 1 Arsenal 1
Olympiakos 2 Standard Liege 1
Monday, October 12, 2009
Big Brother Revolution: Images from Day 35 - SUNDAY OCTOBER 11

Sunday, October 11, 2009
Wenger alicho ambiwa unakijua? "Wenger muda wa kusubiri umekwisha, leta Kombe Emirates"!!!

Saturday, October 10, 2009
Ronaldo na Rooney Wataniana!!

Fergie amwomba msamaha Refa Wiley
Bosi wa Manchester United Sir Alex Ferguson ameomba msamaha kwa Refa Alan Wiley kwa kauli yake kwamba Refa huyo hayuko ‘fiti’ kuchezesha mechi kauli aliyoitoa mara baada ya mechi ya Ligi Kuu ya Manchester United na Sunderland iliyoisha 2-2 huko Old Trafford wikiendi iliyokwisha.Mara baada ya kauli hiyo ya Sir Alex Ferguson, FA, Chama cha Soka England, kilimwandikia barua Ferguson kumtaka ajieleze. Taarifa iliyotoka kwenye tovuti ya Manchester United imemkariri Ferguson akisema: “Naomba msamaha kwa Bw. Wiley kwa kumfedhehesha na kwa FA kwa kutoa mawazo yangu hadharani. Haikuwa nia yangu kumfanya Bw. Wiley amulikwe na Waandishi wa Habari. Nia yangu ni kukutana nae na kumwomba msamaha uso kwa uso mara nitakaporudi safari yangu nje ya Nchi.”Ferguson aliongeza kwamba anamheshimu Refa Wiley na kauli yake haikumaanisha:-Wiley ni Refa mbaya.-Wiley anapendelea.-Uamuzi wake kwenye mechi ile ulikuwa dhaifu.-Kwamba alipitwa na matukio muhimu kwenye mechi ile.Mara baada ya Ferguson kusema maneno kwamba Wiley ‘hayuko fiti’ mjadala na mzozo mkubwa uliibuka kwenye Vyombo vya Habari huko England
Thursday, October 8, 2009
WADAU BONGO STAR SEARCH WATANGAZA ZAWADI!!!
FIFA yairuhusu Man U kumsajili Kinda Pogba!!!
PogbaFIFA U-20 WORLD CUP EGYPT 2009
Tuesday, October 6, 2009
msani wa Bongo afanya vitu vyake ndani ya Big Brother
Mmiliki wa Liverpool George Gillett amlaumu Rafael BenÃtez kwa matokeo mabaya!!!
George GillettSaturday, October 3, 2009
VODACOM MISS TANZANIA 2009 NI MAGEUZI MAKUBWA,MREMBO KUTOKA MWANZA AJINYAKULIA TAJI TENA!!

Mkoa wa Mwanza kwa mara ya pili umetoa mrembo wa Tanzania na kudhihirisha uwezo wake katika mashindano hayo makubwa na yenye mvuto nchini, Miriam anachukua nafasi ya Vodaciom Miss Tanzania 2008 Nasreem Karim ambaye pia alitokea mkoani mwanza na kuufanya mkoa huo kuzichachafya kanada za Mkoa wa Dar es salaam Ilala Temeke na Kinondoni ambazo mara nyingi zimekuwa zikijitapa kuwa ndizo zenye warembo bomba kitu ambacho kimedhihirisha kuwa Tamb zao ni hazimzuii tembo kutoka Mwanza kunywa maji kisimani.
Miriam Gerald SALUYA44 anakutakia kila mafanikio katika kazi zako zote za Miss Tanzania ni kazi ngumu lakini ukiwa makini, ukajiheshimu na kusikiliza ushauri utashinda majaribu yoyote katika kazi hizo Mungu akujalie sana
Berbatov aliwahi kutekwa nyara?

Wednesday, September 30, 2009
BIG BROTHER AFRICA REVOLUTION - Daily Updates - Day 23 (September 29, 2009)
Day 23 of M-Net’s BIG BROTHER REVOLUTION was filled with confrontation, romance – and sheep! On Sunday, Paloma told Itai that she felt betrayed by him when he didn’t keep his word. The next day, Itai told Big Brother that he was struggling with the tension in the house caused by the immorality that surrounds alliances. He felt like his alliance with the girls had no loyalty and wasn't sure who to trust.After his attempts to make amends with Paloma failed on Monday, he finally made his decision about who he is going to support and nominated Paloma and Liz. On Tuesday morning, Itai re-iterated his loyalty to Yacob and the twins, claiming that it is not about the money for him, but rather about true friendship. The drama continues!The housemates were handed their task on Tuesday, one which will surely push their endurance to the limit. Without knowing it, their task had actually started as soon as they woke up on Tuesday and will continue until they end their presentation on Thursday evening. Although the task has numerous components, the challenge is to not fall asleep during Big Brother's "waking hours". Big Brother decided that all housemates may sleep for a maximum of 4 hours on Tuesday night and 5 hours on Wednesday nightManchester United v VfB Wolfsburg

Mechi nyingine ya leo kwenye Kundi hili ni kati ya CSKA Moscow v Besiktas.
Man U ilishinda mechi yake ya kwanza Kundini kwa ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya Besiktas na Wolfsburg, ikiwa nyumbani, iliibamiza CSKA Moscow 3-1.
Man U leo huenda ikaikosa nguvu kazi ya Winga Park Ji-sung ambae ni mgonjwa na pia upo wasiwasi kuhusu Michael Owen ambae ana tatizo dogo pajani.
Kipa Veterani Edwin van der Sar ameshapona na ameanza mazoezi lakini inaaminika leo Ben Foster ataendelea kuwa golini kwani van der Sar hajapata mazoezi ya kutosha.
Wolfsburg huenda wakamkosa Nahodha wao Josue mwenye matatizo ya goti ambalo alifanyiwa operesheni hivi karibuni.
Hata hivyo, nguvu ya Wolfsburg ni Mshambuliaji hatari toka Brazil Grafite na mwingine kutoka Bosnia, Edin Dzeko, Wachezaji ambao hupewa sapoti kubwa na mwenzao kutoka Bosnia pia aitwae Zvjezdan Misimovic.
LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Apoel Nicosia v Chelsea
Leo saa 3 dakika 45 usiku, saa za bongo, Chelsea wanashuka Uwanja wa GSP Nicosia uliopo mjini Nicosia, Visiwani Cyprus, kucheza na Wenyeji wao Apoel Nicosia katika mechi ya pili Kundini mwao katika kinyang’anyiro cha UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Chelsea watashuka dimbani bila Nyota wao Michael Ballack, John Mikel Obi na Ashley Cole ambao ni majeruhi pamoja na Didier Drogba na Jose Bosingwa ambao bado wako kifungoni.
Ingawa Apoel Nicosia hawapewi nafasi kubwa kwenye mechi hii, Kocha wao Ivan Jovanovic anaamini wanaweza kufanya vizuri hasa baada ya kucheza vizuri katika mechi ya kwanza walipokuwa ugenini huko Spain na kutoka suluhu na Atletico Madrid.
Chelsea waliifunga FC Porto ya Ureno bao 1-0 katika mechi ya awali ya Kundi hili.
Mechi nyingine kwenye Kundi hili ni FC Porto v Atletico Madrid.
Monday, September 28, 2009

Tuesday, September 22, 2009
Nyoka Mwenye Mkono Mmoja Awashangaza Wanasayansi China
Thursday, September 17, 2009
Akiri Adebayor kwa FA ‘kumtimba’ van Persie!!!

Wednesday, September 16, 2009
Amerie&lil wayne schedule videoshoot around his new bay

“[When] we were doing the video they were ‘we have to figure it out because nature might take its course,” she told The BoomBox. “We were like ‘lets go to where nature might take its course [Los Angeles] so we can get a pick up shot in case he gets the call.” The video, which was shot earlier this month, is for the single ‘Heard Em All,’ off her upcoming album.
“He’s awesome,” she said of working with Wayne. “He’s always really, really nice. The first time I met him we were doing this event together and we were sitting in the stands. Our handlers were transporting us in the building or something, I just remember thinking ‘he’s really down to earth. He’s really cool.’ I’ve liked him ever since he was in Cash Money, in like ‘97. He’s always had a lot of charisma.”
Amerie is gearing up for the release of her fourth album ‘Love & War,’ her first on Def Jam Records. “[I'm] very excited about [the new album],” she said. “I love my fans [and] I really hope they love this album. I feel like they will if they loved the first one and the second one.”
Shouts to TheBoomBox, and I wonder if they are shooting the video with Wayne’s verse as we last heard that Weezy was only making a cameo.
Tuesday, September 15, 2009
Teem ya Man City wasubiri litakalomkuta Adebayor!!! Shabiki amlalamikia van Persie Polisi!!
Manchester City wanasubiri kujua hatima ya Mchezaji wao Emmanuel Adebayor kufuatia matukio mawili yanayomhusu yeye yalyotokea kwenye mechi ya LIGI KUU Jumamosi iliyopita ambayo Man City waliifunga Arsenal bao 4-2 Uwanjani City of Manchester.Tukio la kwanza ni ushangiliaji wa Adebayor alipofunga bao la 3 na kwenda kushangilia mbele ya Washabiki wa Arsenal ambao walikasirika na kutaka kuvamia uwanja lakini wakadhibitiwa na Walinzi pamoja na Polisi.Katika tukio hilo Mlinzi mmoja alipigwa kichwani na kupoteza fahamu kwa dakika 5 na Polisi wa Manchester wamesema Adebayor ndie chanzo cha fujo hizo.Refa Mark Clattenburg alimpa Adebayor Kadi ya Njano kwa tukio hilo.Tukio la pili ni pale Adebayor alipomgusa usoni Robin van Persie kwa buti na ingawa Refa hakuchukua hatua yeyote kwa Adebayor, van Persie alidai Adebayor alikusudia kumuumiza.Adebayor mwenyewe amekana hilo na kusema alimwomba radhi van Persie ambae amepinga hakuombwa radhi.FA wanatakiwa kutoa uamuzi kabla ya leo [Jumanne] saa 2 usiku [saa za bongo] kama watachukua hatua zozote kwa Adebayor na baada ya hapo Klabu inapewa masaa 24 kuamua kukata rufaa ikiwa adhabu imetolewa.Wakati huo huo, ameibuka Shabiki mmoja aliewakilisha malalamiko yake kwa Polisi kuwa van Persie aliwatukana alipokwenda mbele ya Mashabiki wa Man City baada ya kuifungia Arsenal goli dakika ya 62.Polisi wamesema wanachunguza malalamiko hayo.UEFA yafuta kifungo cha Eduardo, huru kucheza kesho UEFA CHAMPIONS LEAGUE!!!
Sunday, September 13, 2009
van persie adai emmanuel alimtimba makusudi ili amumize...!!!

Saturday, September 12, 2009
Wenger akiri: “Ni muhimu kumsimamisha Adebayor!”
Arsene Wenger amekiri kuwa ili Timu yake Arsenal iambulie chochote kwenye mechi ya leo ya Ligi Kuu England watakapocheza City of Manchester City Stadium na wenyeji Manchester City ni muhimu kumkaba Emmanuel Adebayor alieihama Arsenal na kwenda Man City msimu huu kwa vile ndie anaeng’ara sana kwa sasa.Adebayor msimu huu, katika mechi 3 za Man City Ligi Kuu ambazo wameshinda zote, amefunga goli katika kila mechi.Wenger vilevile ameongeza kuwa katika miaka ya hivi karibuni Mchezaji pekee ambae kiwango chake kilipanda juu sana kwa muda mfupi ni Adebayor ambae alimnunua kutoka Monaco mwaka 2006.Wenger amesema: “Tulimchukua kutoka Monaco akiwa hana namba huko na alipokuja kwetu kiwango chake kilipanda sana! Tunafurahia yote aliyotufanyia Arsenal na nadhani Klabu zote mbili, Arsenal na Man City, zimeridhika! Sisi tumepata pesa nzuri na wao wamepata Straika bora!”Mbali ya Adebayor, Man City pia imemchukua msimu huu Mlinzi Kolo Toure kutoka Arsenal ambae pia anang’ara na Timu yake mpya akiiongoza ngome ambayo katika mechi zao 3 za Ligi Kuu hawajafungwa hata goli moja.Katika mechi ya leo, Man City itawakosa nyota wao Robinho na Tevez ambao wote waliumia katika mechi moja wakati Nchi zao Brazil na Argentina zilipokutana kwenye mechi ya Kombe la Dunia Jumamosi iliyopita huko Rosario City, Argentina na Brazil kushinda 3-1.
Arsenal watamkosa majeruhi Andriy Arshavin lakini Nahodha wao Cesc Fabregas na Tomas Rosicky wapo fiti na huenda wakacheza.
Mechi kama hii msimu uliokwisha, Man City walishinda bao 3-0.
Refa katika mechi ya leo ni Mark Clattenburg.
FIFA yaizuia Chelsea kuwarudisha hata Wachezaji wao waliowatoa kwa mkopo!!
FIFA imewaambia Chelsea hawaruhisiwi kuwarudisha Wachezaji wao waliowatoa kwa Klabu nyingine kwa mkopo wa msimu mzima kufuatia kifungo chao cha kutosajili Wachezaji kwa vipindi viwili vya usajili ikimaanisha hawawezi kusajili hadi mwaka 2011 adhabu ambayo wamepewa baada ya kumchukua Chipukizi Gael Kakuta kutoka FC Lens ya Ufaransa kinyume cha taratibu.Ingawa Chelsea wana nia ya kukata rufaa kupinga adhabu hiyo, Meneja wao Carlo Ancelotti alitaka kupunguza makali ya adhabu hiyo kwa kuwarudisha Wachezaji wao Klabuni waliowatoa kwa mkopo akiwemo Mchezaji wa Timu ya Vijana ya England wa chini ya miaka 21 Michael Mancienne kutoka Wolves, Scott Sinclair toka Wigan na Muargentina Franco di Santo kutoka Blackburn.FIFA imetoa ufafanuzi kuwa ni Di Santo pekee anaeweza kurudi Stamford Bridge kwa vile mkopo wake ni nusu msimu lakini Sinclair haruhusiwi kurudi kwa vile mkopo wake ni wa msimu mzima na kuhusu Mancienne, ingawa mkopo wake ni wa msimu mzima, FIFA itatoa uamuzi baadae kuhusu kipengele cha mkataba ambacho kinatamka anaweza kurudi Chelsea kwa dharura.Mpaka sasa Chelsea wanangoja kupokea kutoka FIFA adhabu yao rasmi ndani ya siku 10 zijazo na kisha wanatakiwa ndani ya siku 21 kukata rufaa.Chelsea wametaka kuwarudisha Wachezaji hao iliowatoa kwa mkopo ili wawe kava ya akina Didier Drogba, Michael Essien, John Obi Mikel na Salomon Kalou ambao itawakosa mwezi Januari 2010 kwani wote wanategemewa kuwakilisha Nchi zao kwenye mashindano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika huko Angola.Hata hivyo Januari 2010, Chelsea wanategemea majeruhi wao wa muda mrefu Paulo Ferreira na Joe Cole kurudi uwanjani baada ya kupona magoti waliyoumia.Friday, September 11, 2009
ULE MCHANANGE WA LIGI KUU England: Mechi za Wikiendi hii na taarifa zake mbalimbali
Emmanuel Adebayor atakuwa kivutio kikubwa wakati Klabu yake ya zamani Arsenal itakapotua City of Manchester Stadium kucheza na Wenyeji Manchester City hapo kesho.Adebayor, akiwa na Man City msimu huu, amefunga bao katika mechi zote 3 za Ligi Kuu walizocheza na kushinda zote.Katika mechi hizo 3, ngome ya Man City haijaruhusu hata bao moja na inaongozwa na Mchezaji mwingine alietoka Arsenal, Kolo Toure.Tottenham ni Klabu nyingine ambayo haijapoteza mechi msimu huu baada ya kushinda mechi zao zote 4 ikiwa na ile waliyoipiga Liverpool bao 2-1 siku ya ufunguzi wa mechi za Ligi Kuu lakini kesho wana mtihani mkubwa pale watakapowakaribisha Mabingwa watetezi Manchester United Uwanjani White Hart Lane.Chelsea, ambao ndio vinara wa Ligi baada ya mechi 4 na kushinda zote, kesho wapo safarini hadi Uwanja wa Britannia kupambana na Stoke City.Liverpool, ambao tayari katika mechi 4 wamepoteza mbili, watakwaana na Wababe wa Manchester United na Everton, Timu iliyopanda Daraja Burnley uwanjani Anfield. Hata hivyo, Burnley, wakicheza ugenini, hawajashinda wala kutoka droo na hawajafunga hata goli moja katika mechi zao mbili walizocheza huko ugenini.Huko katikati ya England, mjini Birmingham, kutakuwa na kindumbwendumbwe cha Watoto wa mji mmoja kukutana na mechi hii, kwa sababu za usalama, itachezwa saa 6 mchana kwa saa za Uingereza na kuwakutanisha Birmingham City na Aston Villa Uwanjani St Andrews. Villa ndio wanaoonekana wenye nguvu baada ya kushinda mechi zote 4 zilizopita kati yao ukiwemo ushindi wa mabao 5-1 Uwanjani Villa Park mwaka jana.Fulham wanawakaribisha Everton uwanjani Craven Cottage siku ya Jumapili huku Klabu zote zikitaka ushindi hasa baada ya kutoanza vizuri Ligi msimu huu. Fulham wameshinda mechi moja tu walipowafunga Portsmouth siku ya ufunguzi na wenzao Everton walifungwa mechi zao zote 2 za kwanza na kushinda ya 3 walipoiua Wigan.Portsmouth hawana pointi hata moja hadi sasa baada ya mechi 4 na wawakaribisha Bolton ambao nao pia wanasuasua baada ya kupoteza mechi zao zote 3.Blackburn Rovers , mpaka sasa wamecheza mechi 3 na kutoka droo moja na kufungwa mbili, wanawakaribisha Wolves uwanjani Ewood Park. Wolves wameanza msimu huu kwa kuwafunga Wigan, kutoka droo na Hull City na kufungwa na West Ham na Man City.Sunderland, walioshinda mechi 2 na kufungwa 2, watakuwa nyumbani Stadium of Light kucheza na Hull City ambao wamecheza mechi 4 na kushinda moja, droo moja na kufungwa 2.Wigan watakuwa wenyeji wa West Ham kwao DW Stadium msimu uliokwisha ilikuwa ikiitwa KC Stadium.Wigan wameshacheza mechi 4, wameshinda moja na kufungwa 3 wakati West Ham wana mechi 3 na wameshinda moja, droo moja na kufungwa moja.LIGI KUU ENGLAND:
Mechi za Vilabu zarudi tena!!
Thursday, September 10, 2009
0, Paraguay waingia Fainali!!!

Jumamosi, Argentina wakiwa nyumbani Rosario City, walipigwa bao 3-1 na Mahasimu wao wakubwa Brazil.
Bao la Paraguay lilifungwa na Haedo dakika ya 28.
Kwa kipigo hiki cha pili mfululizo ambacho mbali ya kuhatarisha sana nafasi ya Argentina kucheza Fainali huku zikiwa zimebaki mechi 2 tu kwenye Kundi lao, hata kibarua cha Kocha Diego Maradona sasa kina walakini mkubwa
Wednesday, September 9, 2009
David Gill wa Man U kachaguliwa katka chama cha Klabu Ulaya [ECA]!
Mkurugenzi Mkuu wa Manchester United, David Gill, amechaguliwa kwenye Bodi ya Chama cha Klabu Ulaya, ECA, [European Club Association] pamoja na Rais wa Real Madrid, Florentino Perez kwa kipindi cha miaka miwili.ECA ina Bodi hiyo yenye Wawakilishi 15 na hupeleka Wajumbe wake kwenye Kamati za UEFA na kushirikiana na kutoa ushauri kuhusu masuala ya Soka huko Ulaya.
ECA inaundwa kutokana na Klabu 144 toka Nchi 53 za Ulaya na hupigania haki za Vilabu hivyo huko Ulaya.
Mpaka sasa Timu zilizo Fainali ni Wenyeji Afrika Kusini, Uholanzi, Brazil, Ghana, Japana, Korea Kaskazini, Korea Kaskazini na Australia.
Huko Ulaya Washindi 9 wa kila Kundi wataenda Fainali na Timu 8 Bora zitakazoshika nafasi ya pili zitafanyiwa dro ili kuwe na mechi 4 na washindi wa mechi hizo wataingia Fainali.
Mabingwa wa Ulaya Spain wataingia Fainali wakiwafunga Estonia na wakati huo huo Turkey iwafunge Bosnia. Lakini hata Spain wakitoka droo na Turkey akishinda, Spain atenda Fainali.
Denmark atatinga Fainali ikiwa tu ataifunga Albania huku Portugal waifunge Hungary na Malta wasifungwe na Sweden.
Na kwa Slovakia, itabidi kwanza waombe Slovenia na Poland watoke suluhu kisha wao waifunge Ireland nyumbani kwao Belfast ndipo wataingia Fainali.
Mutu aomba atoe pesa kwenye Mifuko ya Hisani badala ya kuilipa Chelsea Pauni Milioni 15!!!!
**ASEMA HANA UWEZO KULIPA FAINI HIYO ILIYOWEKWA NA FIFA!
Adrian Mutu ametoa pendekezo ni bora achangie kwenye Mifuko ya Hisani au kwenye Mifuko yoyote inayowasaidia watu badala ya kuilipa Chelsea fidia ya Pauni Milioni 15 kama ilivyoamuliwa na FIFA na kuungwa mkono na CAS [Mahakama ya Usuluhishi Michezoni].
Mshambuliaji huyo kutoka Rumania alieigharimu Chelsea Pauni Milioni 15 mwaka 2003 alifukuzwa Chelsea mwaka mmoja baadae baada ya kugundulika anatumia cocaine na kufungiwa miezi 7 kutocheza soka.
FIFA iliamua Mutu ailipe Chelsea Pauni Milioni 15 ikiwa ni fidia lakini Mutu alikata rufaa kupinga uamuzi huo kwa Korti ya Usuluhishi Michezoni [CAS= Court of Arbitration for Sport].
Uamuzi wa CAS ulitolewa Julai mwaka huu na Mutu amebakiza muda wa wiki moja tu kukata Rufaa kwa Mahakama Kuu ya Uswisi ambayo ndiyo pekee yenye haki ya kusikiliza na kuamua maamuzi yanayotolewa na CAS.
Hatua ya Mutu ipo kwenye barua aliyowaandikia Chelsea, Kamati ya Nidhamu ya FIFA na Rais wa FIFA, Sepp Blatter.
Katika barua hiyo, Mutu ameandika: “Siwezi kulipa kiasi hicho. Si suala la kuamua bali la kuelewa na kufahamu misingi ya kutokuwa na uwezo. Napendekeza nitoe mchango mkubwa utakaoamuliwa ili kuwasaidia Vijana wenye matatizo ya madawa ya kulevya na pia kutoa kiwango hicho hicho kwa Mfuko wa Hisani watakauchagua Chelsea wa mjini London na Nchini kwangu Romania.”
Baada ya kutimuliwa Chelsea, Mutu alijiunga na Juventus Januari 2005 kama Mchezaji huru na hivyo Chelsea kutopata hata senti na msimu mmoja baadae akaenda Fiorentina ambako yuko mpaka leo.
Tuesday, September 8, 2009
Rafa ajaribu kuwaonya Mawinga wake Babel na Riera
KOMBE LA DUNIA: NCHI ZA ULAYA
Monday, September 7, 2009
Slaven Bilić adai kwamba wamegundua udhaifu wa England!!!!










